Wachezaji wa Yanga pamoja na Azam wakiingia Uwanjani.
Benchi la Ufundi la timu ya Azam
Benchi la ufundi la timu ya Yanga
Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu akiipangua ngome ya Azam kabla
ya kuachia kiki kali na kuipatia timu yake bao la kwanza.
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva (kushoto) akichuana na beki wa
Azam, FC, Said Morad katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia
Mshambuliaji wa Yanga Hamisi Kiiza
akiwaongoza wachezaji waenzake kushangilia bao la kwanza la lililofungwa na
Didier Kavumbagu (kushoto) wakati wa mchezo wa Ligu Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda
2-0.
Golikipa wa Azam, Ally Mwadini akiokoa moja ya hatari zilizoelekezwa
langoni mwake wakati wa mchezo wao dhidi ya Yanga.
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Azam
Raha ya ushindi, hureeeeeeeeeeee
Balozi wa FIFA, Abeid Pele (wa pili
kushoto) akiwa na baadhi ya viongozi wa TFF pamoja na Mwenyekiti wa TASWA, Juma
Pinto wakati alipohudhuria mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kati ya
Yanga na Azam FC kwenye uliuofanyika leo Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Pele yupo
nchini kwa ajili ya programu za Shirikisho
la Soka Duniani (FIFA).Picha zote na Habari Mseto Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)