Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej
akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Zanzibar
Sheha Mjaja Juma kuhusiana na hatua iliyofikiwa juu ya mradi wa maji safi na salama katika Shehia ya Kilimani Jimbo la Nungwi.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej
akikabidhi vifaa vya usafi kwa vikundi vya mazingira kutoka maeneo
tofauti huko Idara ya Mazingira Maruhubi.Picha, Ali Hamad-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)