Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa
akizungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw Filiberto
Ceriani kuhusu Matayarisho ya Mkutano wa Mabadiliko ya tabianchi
Utakaofanyika Doha,Mwenzi Desemba Mwaka huu.Picha na Ali Meja
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)