WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizen go Pinda akizungumza na Mbunge wa Kahama, James Lembeli (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum,Maria Hewa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi  ambaye pia ni Mbunge wa Ismani akiteta na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu kwenye  viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 7, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Mhe.  Fionnuala Gilsenan, Ofisini kwake , Bungeni Mjini Dodoma Novemba 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages