WANAVYUO NACHINGWEA WAPEWA SOMO NA NHIF KUHUSU BIMA YA AFYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WANAVYUO NACHINGWEA WAPEWA SOMO NA NHIF KUHUSU BIMA YA AFYA

Veronika Luanda akipewa  maelekezo na mwakilishi wa NHIF Lindi Fortunata Kullaya wakati wa utekelezaji wa mpango wa elimu kwa wanachama wa NHIF,uliofanyika  kwenye chuo cha Uuguzi Nachingwea (NTC)
Fursa ya kuuliza maswali na kutoa maoni yanayohusu changamoto na maboresho katika NHIF na CHF yalitolewa,pichani ni Ally Ngilima mwanachuo wa mwaka wa kwanza chuo cha ualimu Nachingwea akitoa maoni.
Mwakilishi wa  NHIF na CHF Lindi Fortunata Kullaya akitoa elimu na  uhamasishaji kwa wanachuo wa chuo cha ualimu Nachingwea kufahamu umuhimu wa kujiunga na Mfuko.
Mratibu wa CHF Wilaya ya Nachingwea Masiah Nyoni akifafanua maswali yaliyoulizwa kutoka kwa washiriki wa mafunzo ya elimu ya NHIF na Mifuko ya Afya ya Jamii (CHF) ambao ni  wanachuo wa chuo cha ualimu Nachingwea (NTTC).Na Paul Marenga NHIF-Lindi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages