WAJUMBE WA TUME YA KATIBA WATATHIMINI AWAMU YA TATU YA UKUSANYAJI MAONI YA WANANCHI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAJUMBE WA TUME YA KATIBA WATATHIMINI AWAMU YA TATU YA UKUSANYAJI MAONI YA WANANCHI

Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Fatma Said Ally (kushoto) akizungumza wakati wa kikao cha tathimini ya awamu ya tatu kazi ya ukusanyaji maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Kikao hicho  kilifanyika leo jumatatu tarehe 12. Novemba, 2012 katika makao makuu ya Tume hiyo, Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mjumbe mwingine wa Tume hiyo, Mohammed Mshamba.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Salama Ahmed (katikati) akizungumza wakati wa kikao cha tathimini ya awamu ya tatu kazi ya ukusanyaji maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Kikao hicho  kilifanyika leo jumatatu tarehe 12. Novemba, 2012 katika makao makuu ya Tume hiyo, Jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Wajumbe wa Tume hiyo, Esther Mkwizu (kushoto) na Jesca Mkuchu (kulia).
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku (kulia) akizungumza wakati wa kikao cha tathimini ya awamu ya tatu kazi ya ukusanyaji maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Kikao hicho  kilifanyika leo jumatatu tarehe 12. Novemba, 2012 katika makao makuu ya Tume hiyo, Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mjumbe mwingine, Said El- Maamry.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Omary Mussa (kulia) ) akizungumza wakati wa kikao cha tathimini ya awamu ya tatu kazi ya ukusanyaji maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Kikao hicho  kilifanyika leo jumatatu tarehe 12. Novemba, 2012 katika makao makuu ya Tume hiyo, Jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Wajumbe wa Tume hiyo, Simai Said (katikati) na John Nkolo (kushoto).PICHA NA TUME YA KATIBA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages