Baadhi ya vijana waliofika katika mchujo kutafuta timu 5 zitakazoliwakilisha taifa la Tanzania katika mashindano ya Guinness Football Challnge (GFC) nchini Afrika Kusini, ambapo vijana wawili wawili wanaounda timu moja na endapo kama timu hiyo itafanikiwa kushinda kule Afrika Kusini itajinyakulia kitita cha Shilingi Bilioni 1 na Milioni mia nne.
Mkurugenzi wa Msoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Ephraim Mafuru akionyesha uwezo wake mkubwa wa kumiliki mpira (ball Control) wakati wa Mchujo wa Guinness Football Challenge (GFC) iliyofanyika jumamosi ya tarehe 24 Novemba 2012 katika viwanja Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Ali Bin Ali kutoka Mbagala Rangi tatu akijaribu bahati yake kwa kupiga danadana (ball Control) wakati wa Mchujo wa Guinness Football Challenge (GFC) iliyofanyika jumamosi ya tarehe 24 Novemba 2012 katika viwanja Leaders Club jijini Dar es Salaam. Ali alifanikiwa kupita katika mchujo huo kwa upande wa uchezaji sijui mshiriki mwenzake aliyepo upande wa maswali.

Nelson Kessy Kigogo Mburahati, akijaribu bahati yake kwa kucheza mpira (ball Control) wakati wa Mchujo wa Guinness Football Challenge (GFC) iliyofanyika jumamosi ya tarehe 24 Novemba 2012 katika viwanja Leaders Club jijini Dar es Salaam. Ali alifanikiwa kupita katika mchujo huo kwa upande wa uchezaji
Kijana akionyesha uwezo wake wa kumiliki mpira katika michuano ya kuwatafuta wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Guinness Football Challenge itakayofanyika Nchi Afrika Kusini
Wafanyakazi wa SBL wakisubiri vijana waliojitokeza kwaajili ya Kuwasajili vijana watakaokuwa wakichuana katika kutafuta wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Guinness Football Challenge iliyofanyika jumamosi ya tarehe 24 Novemba 2012 katika viwanja Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Kijana akionyesha Uwezo wake wa Kumiliki na Kuchezea Mpira atakavyo katika michuano ya kuwatafuta wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Guinness Football Challenge iliyofanyika jumamosi ya tarehe 24 Novemba 2012 katika viwanja Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Hii Ndio Stage ya Guinness Football Challenge iliyopo siku hiyo ya Jumamosi katika Michuano ya kuwatafuta wawakilishi wa Tanzania katika Guiness Football Challenge iliyofanyika jumamosi ya tarehe 24 Novemba 2012 katika viwanja Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Mh Steve Gannon akibadilishana mawazo na Mmoja wa wafanyakazi wa SBL Tanzania katika Michuano ya kuwatafuta wawakilishi wa Tanzania katika Guinness Football Challenge iliyofanyika jumamosi ya tarehe 24 Novemba 2012 katika viwanja Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Mh Steve Gannon akipiga mpira wakati wa kuwatafuta wawakilishi watakaoiwakilisha Tanzania katika Michuano ya Guinness Football Challenge iliyofanyika jumamosi ya tarehe 24 Novemba 2012 katika viwanja Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Kijana akionyesha Majonjo yake katika michuano ya kuwatafuta wawakilishi watakaoiwakilisha Tanzania katika Michuano ya Guinness Football Challenge itakayofanyika nchini Afrika Kusini

MC wa Mchujo huu Shafii Dauda (kulia) akiwa na baadhi ya washiriki.

Afidh Mkambala kutoka Temeke Mwembe Radu akijaribu bahati yake kwa kuchezea mpira (ball Control) wakati wa Mchujo wa Guinness Football Challenge (GFC) iliyofanyika jumamosi ya tarehe 24 Novemba 2012 katika viwanja Leaders Club jijini Dar es Salaam. Ali alifanikiwa kupita katika mchujo huo kwa upande wa uchezaji
Kijana Hussein Thabit kutokea Kunduchi Mtongani akionyesha kipaji Chake katika michuano ya kutafuta wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Guinness Footbal Challenge iliyofanyika jumamosi ya tarehe 24 Novemba 2012 katika viwanja Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Wakazi wa Jiji la Dar waliojitokeza kujaribu bahati zao za kutaka kuliwakilisha taifa la Tanzania Katika Michuano ya Guinness Football Challenge wakisubiri zamu zao zifike ili waweze kuonyesha uwezo wao na kuweza kuchaguliwa kwaajili ya kuwa wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Guiness Footbal Challenge





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)