SIKU YA UKIMWI DUNIANI : WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAASWA KUPIMA AFYA ZAO NA KUJIKINGA NA UGONJWA WA UKIMWI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

SIKU YA UKIMWI DUNIANI : WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAASWA KUPIMA AFYA ZAO NA KUJIKINGA NA UGONJWA WA UKIMWI


Afisa habari wa mkoa wa Dar es salaam Bi. Adrofina Ndyeikiza akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kwa niaba ya mkuu wa mkoa huo kuhusu maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo kimkoa yatafanyika katika uwanja wa Biafra, Manispaa ya Kinondoni. Kulia ni Mratibu wa Ukimwi wa Mkoa wa Dar es salaa kutoka TACAIDS Bw. Omary Chambo.
Mratibu wa Ukimwi wa Mkoa wa Dar es salaa kutoka TACAIDS Bw. Omary Chambo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu hali ya maabukizi ya ugonjwa huo katika jiji la Dar es salaam na kutoa wito kwa wakazi wa jiji hilo kushirikiana na serikali na wadau mbalimbali katika kupambana na Ugonjwa huo.Picha na Aron Msigwa - MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages