Shujaa Mpya wa Kibongo
Urban Pulse na Freddy Macha wanakuletea kidokezo ("trailer") cha filamu
kuhusu shujaa mpya wa Kitanzania Wilfred Moshi, aliyejitolea kwa hali
na mali kuupanda Mlima Everest. Ameweka rekodi ya kuwa Mwafrika wa tatu
na Mtanzania wa kwanza kupanda mlima mrefu kushinda yote duniani.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)