Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Bw, Salem Ali Sharhan,Mshauri wa Mtawala wa Ras Al Khaimah,akiongoza ujumbe wa watu wanne ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Ujumbe kutoka Ras Al Khaimah,ukiongozwa na Bw, Salem Ali Sharhan,(wa pili kulia) akiwa Mshauri wa Mtawala wa Ras Al Khaimah, ujumbe huo wa watu wanne lipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)