Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete Akisalimiana na mtoto aliyejitambulisha kwa jina la
Kanoni anayetibiwa katika hospitali ya CCBRT wakati alipoitembelea
hospitali hiyo jana ambapo alipokea msaada wa shilingi Bilioni nane
kutoka Kampuni ya VODACOM kwaajili ya ujenzi wa hospitali
itakayoshughulika na kutibu wanawake waliothirika na ugonjwa wa fistula
pamoja na magonjwa ya ulemavu wa watoto jijini Dar es Salaam.Picha na Freddy Maro-IKULU
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)