Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi.
Sihaba Nkinga akiongea na Wadau wa Sekta ya Michezo katika Kikao cha
kujadili Rasimu ya Sera ya Michezo pamoja na Itifaki ya kuridhia Mkataba
wa Kimataifa wa udhibiti wa matumizi ya dawa za kuongeza nguvu katika
Michezo.
Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa kujadili Rasimu ya Sera ya Michezo
wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na
Michezo Bi. Sihaba Nkinga (Hayupo Pichani) wakati wa ufunguzi wa
kujadili Rasimu ya Sera hiyo.Wa kwanza Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya
Habari Ndugu Assah Mwambene.
Baadhi
ya Wadau wa Michezo wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Naibu Katibu Mkuu
Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Bi Sihaba Nkinga akifungua
Kikao cha Wadau wa Michezo kuhusu kujadili Rasimu ya Sera Mpya ya
Michezo pamoja na Itifaki ya kuridhia Mkataba wa Kimataifa wa Udhibiti
wa matumizi ya Dawa za kuongeza nguvu katikamichezokwenye Ukumbi wa
Uwanja wa Taifa mjini Dar. Leo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Bi Sihaba
Nkinga (wa nne mstari wa chini kulia )akiwa kwenye picha ya pamoja na
Wadau wa Michezo kuhusu kujadili Rasimu ya Sera Mpya ya Michezo pamoja
na Itifaki ya kuridhia Mkataba wa Kimataifa wa Udhibiti wa matumizi ya
Dawa za kuongeza nguvu katikamichezokwenye Uwanja wa Taifa mjini Dar.
Leo.Picha na Anna Itenda -Maelezo na Benjamin Sawe wa WHVUM).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)