Waziri wa Uchukuzi, Dk.
Harrison Mwakyembe (aliyevaa pama katikati) akihojiana na abiria alipofanya
ukaguzi ywa kushitukiza katika Stesheni ya TRL, Dar es Salaam leo kujionea
matatizo yaliyojitokeza baada ya usafiri wa abiria jijini kuanzishwa wiki
hii.
Mwakyembe akitoa
maelekezo
Waziri wa Uchukuzi
Dk.Harrison Mwakyembe (kushoto),akimwelekeza jambo Mkurugenzi Mtendaji wa
Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Mhandisi Kipallo Kisamfu, wakati alipofanya
ziara ya kushitukiza Stesheni ya Reli hiyo Dar es Salaam leo jioni, kujionea
changamoto zilizopo baada ya kuanza kwa safari za treni hiyo ya abiria kutoka
katikati ya Jiji hadi Ubungo Maziwa.(PICHA NA DOTTO MWAIBALAE)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)