SELEMANI SAID GALILE SELEMAN TOLL |
Mpambano kati ya bondia SELEMANI SAIDI VS CALED AMAEINDA wa Kenya linatalajia kuchezwa kesho katika uwanja wa KINESI
ulioko katika jimbo la ubungo ,tarehe 10 -11-2012 jijini Dar es Salaam akizungumza na mwandishi wetu leo jioni Rais wa PST Emanuel Mlundwa amesibitisha kuwepo kwa mpambano huo ambapo CALED AMAEINDA
wa Kenya amewasili kwa ajili ya kupambana na Seleman Toll siku hiyo
kwani taarifa zilizotolewa na moja ya chama cha masumbwi kuwa akitambui
mpambano huo ndio mana PST ikachukuwa jukumu la kukwamua ili kufanyika
mpambano huo ili mabondia wapate ridhiki yao ya alali kama
walivyokubaliana katika mkataba
Mlundwa alisema mabondia ndio
wanaopigana hivyo ana sababu ya kusitisha mpambano huo usifanyike kwa
baadhi ya watu wachache wasioutakia mema mchezo wa masumbwi kuleta fujo
za uongozi wa hapa na pale
Mpambano huo utakuwepo pale pale kesho kuanzia saa kumi jioni na kuendeklea na baadhi ya wachezaji wanaocheza utangulizi wamepima uzito leo kwa ajili ya mpambano huo na kuwataka mashabiki kujitokeza kwa wingi kuangalia masumbwi hayo

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)