Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akikaribishwa na Mkurugenzi Mkuu wa
Hospitali ya Muhimbili Dkt. Marina Njelekela wakati wa Uzinduzi wa
Huduma ya Afya kwa Jamii Viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Dar es Salaam
leo ,mgeni rasmi akiwa Mama Kikwete .
Mwenyekiti
wa Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa
Risala wakati wa Uzinduzi wa Huduma ya Afya kwa Jamii Viwanja vya
Mnazi Mmoja mjini Dar es Salaam leo akiwa Mgeni rasmi.
Baadhi
ya Akina mama waliofika Viwanja vya Mnazi Mmoja kupata Elimu mbalimbali
kwa ajili ya Afya wakimsikiliza Mwenyekiti wa Wanawake na Maendeleo
(WAMA) Mama Salma Kikwete akizindua Huduma ya Afya kwa Jamii akiwa
mgeni rasmi jijini Dar es Salaam leo .
Baadhi
ya Akina mama waliofika Viwanja vya Mnazi Mmoja kupata Elimu mbalimbali
kwa ajili ya Afya wakimsikiliza Mwenyekiti wa Wanawake na Maendeleo
(WAMA) Mama Salma Kikwete akizindua Huduma ya Afya kwa Jamii akiwa
mgeni rasmi jijini Dar es Salaam leo .
Mwenyekiti
wa Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma KIkwete kulia na Mwenyekiti
wa Chama cha Madaktari Wanawake (MEWATA) Dkt Sarafina Mkuwa
wakijadiri kitu wakati wa Uzinduzi wa Huduma ya Afya kwa jamii Viwanja
vya Mnazi Mmoja mjini Dar es Salaam leo .
Wakazi
wa jiji la Dar es salaam wakiwa katika foleni ya kwenda kupima Afya zao
viwanja vya mnazi mmoja hunduma hiyo ni bure iliyoandaliwa na chama cha
madaktari wanawake Tanzania (MEWATA)
Daktari
bingwa wa macho kutoka hospitali ya Taifa muhimbili Bi.Celina Mhina
akimpima macho mmoja wa wazee walioathirika na macho.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)