Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi
kutoka kwa Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw, baada ya mazungumzo
yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov 21,
2012.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na
Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw, wakati alipofika Ofisini kwa
Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov 21, 2012 kwa
mazungumzo
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa
India Nchini Tanzania, Dednath Shaw, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo Nov 21, 2012 kwa mazungumzo.Picha na
OMR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)