Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wananchi wakati wa ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya
Takwimu Afrika, yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es Salaam, leo.
Baadhi
ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kisutu ya Jijini Dar es Salaam,
wakiwa katika maadhimisho hayo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt.
Bilal.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria maadhimisho hayo kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja leo.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu, wakiigiza kuhusu malengo ya Maadhimisho hayo na maana ya Takwimu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Ofisi ya Takwimu
waliokuwa Meza Kuu, baada ya kufungua rasmi Maadhimisho hayo leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu
waliohudhuria ufunguzi wa maadhimisho hayo baada ya ufunguzi rasmi
uliofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wanafunzi wa Shule za
Sekondari, waliohudhuria ufunguzi wa maadhimisho hayo baada ya ufunguzi
rasmi uliofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam
leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Brandina
Chuwa, wakati alipokuwa akiwasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini
Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kufungua rasmi Maadhimisho ya Siku ya
Takwimu Afrika.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Kamishna wa Sensa , Hajjat Amina Mrisho Said, wakati
akiondoka katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo baada
ya kufungua rasmi Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)