Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Yatoa Hukumu Ya Kunyogwa Hadi Kufa Watuhumiwa Wa Mauaji ya Swetu Fundikira, - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Yatoa Hukumu Ya Kunyogwa Hadi Kufa Watuhumiwa Wa Mauaji ya Swetu Fundikira,

 Marehemu Swetu Fundikira enzi za uhai wake.
Watuhumiwa waliohukumiwa kifo kutokana na mauaji ya Fundikira MTM 1900 Sajenti Roda Robert(42) wa kikosi cha JKT-Mbweni na MT 75854 Koplo Ally Ngumbe (37) wa JWTZ-Kunduchi
--
 WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira,  MTM 1900 Sajenti Roda Robert (42) wa kikosi cha JKT - Mbweni na MT 75854 Koplo Ally Ngumbe (37) wa JWTZ-Kunduchi leo wamehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages