Pages

maalim seif afungua mkutano wa 34 wa aapm.


Baadhi ya viongozi wa Mkutano 34 wa ustawishaji huduma za jamii na utawala bora (AAPAM) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni rasmi Maalim Seif Sharif Hamadi wa katikati amekaa, kutoka kulia ni yake ni Rais wa (AAPAM) Abdon Agaw Jok Nhial na kushoto kwake ni katibu mkuu Baraza la Mapinduzi na katibu kiongozi waserikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Abdullhamid Yahya Mzee. 
Mgeni rasmii wa Mkutano wa 34 wa ustawishaji huduma za jamii na utawala bora (AAPAM) Malim Seif Sharif Hama Madi akifungua mkutano huo huko Zanzibar Beach Resort Mazizini nnje kidogo ya mji wa Zanzibar.
Brass band ya Jeshi la Polisi Zanzibar  likitumbuiza wageni katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Mazizini nnje kidogo ya mji wa Zanzibar. PICHA NA MAKAME MSHENGA MAKAME-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)