KUTOKA VIWANJA VYA BUNGENI MJINI DODOMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KUTOKA VIWANJA VYA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kibakwe na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, Bungeni Mjini  Dodoma Oktoba  6, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda Magalle kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Oktoba 6,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongea na Mbunge wa Mpedae, Salim Hassan  Abdullah Turky  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma,Oktoba 6, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages