KUNING'INIZA VIATU JUU YA NYAYA ZA UMEME KUNAASHIRIA KITU GANI MAENEO HAYO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KUNING'INIZA VIATU JUU YA NYAYA ZA UMEME KUNAASHIRIA KITU GANI MAENEO HAYO

Katika pitapita zangu mwishoni mwa wiki nilikuta viatu vikiwa vimening'inizwa kwenye nyaya za umeme.Katika kuulizia nikaambiwa kuwa kuna maana ya kuning'iniza viatu juu ya nyaya za umeme lakini sikuambia maana yake na aliyeniambia kanipa mtihani.Naomba kujua mwenye kujua maana ya kuweka viatu juu ya nyaya za umeme nasikia ni staili ya marekani inaashiria kitu flani naomba kujuzwa jamani

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages