Pages

kongamano la mwaka la majaji jijini Arusha


 Jaji Mkuu Mh. Othman Chande akiwa na Jaji mkuu wa Kenya Mh. Willy Mtungi na Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba  wakati wa mapumziko  ya kongamano la mwaka la majaji inayofanyikia kwenye hoteli  ya Snow Crest Hotel jijini Arusha
 Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba akisalimiana  na  mmiliki wa Snow Crest Hotel  ya jijini Arusha Ndugu Wilfred LucasTarimo wakati wa mapumziko 
Sehemu ya majaji wakiwa kwenye kongamano hilo
 Waheshimiwa wakibadilishana mawazo wakati wa mapumziko kwenye kongamano hilo la mwaka la majaji. Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)