Pages

BONDIA KING CLASS MAWE AENDELEA KUJIFUA KUMKABILI SAIDI MUNDI DESEMBA 9

Bondia Mohamed Hemedi 'Kadogo Ninja' kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Kambi ya Ilala Dar Es salaam Class anajiandaa na mpambano wake na Said Mundi utakaofanyika Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam

bondia Ibrahimu Class 'King Class mawe' akioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi na Mohamed Hemedi 'Kadogo Ninja' wakati wa mazoezi yao yanayoendelea Katika Kambi ya Ilala Dar es salaam Class anajiandaa na mpambano wake na Said Mundi wa Tanga utakaofanyika Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)