MICHUANO YA KUWATAFUTA VIJANA WATAKAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA GUINESS FOOTBAL CHALLENGE 2012 IKIENDELEA MIDA HII NDANI YA VIWANJA VYA LEADERS - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MICHUANO YA KUWATAFUTA VIJANA WATAKAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA GUINESS FOOTBAL CHALLENGE 2012 IKIENDELEA MIDA HII NDANI YA VIWANJA VYA LEADERS

 
Kijana Hussein Thabit kutokea Kunduchi Mtongani akionyesha kipaji Chake katika michuano ya kutafuta wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Guinness Footbal Challenge inayoendelea kufanyika Katika Viwanja Vya Leaders Muda huu
 Wakazi wa Jiji la Dar wakiwa wamejitokeza kushiriki katika kutafuta wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Guiness Footbal Challenge katika viwanja vya Leaders yanayoendelea muda huu
 Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti SBL Ephraim Mafuru akionyesha Kipaji chake katika michuano ya Kuwatafuta Wawakilishi wa Tanzania katika Guinness Football Challenge katika Viwanja Vya Leaders muda huu
Wadau wakifuatilia michuano ya kuwatafuta wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Guiness Footbal Challange inayoendelea katika Viwanja Vya Leaders Muda Huu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages