Mke wa Dr Shabani Kachua, Jemima akiwa na mtoto
wao kipenzi Mary wakati wa uhai wake.
Dr Shabani Kachua
Mama
Shabani Kachua akiwa amembeba mtoto wake kipenzi marehemu Mary wakati wa uhai
wake.
Mtandao
wako unaungana pamoja na familia ya Dr Shaban Kachua katika kipindi hiki kigumu
cha majonzi, kwa heshima kubwa tunampa pole sana kwa msiba huu mkubwa ambao
wameupata.
Mtoto
Mary amefariki Dunia Nchini Canada jana alipokuwa anaishi na wazazi wake,
mazishi yatafanyika huko huko.
"BWANA
ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)