CHOKOLAA AINOGESHA MSONDO NGOMA MAX BAR ILALA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CHOKOLAA AINOGESHA MSONDO NGOMA MAX BAR ILALA

Msanii wa bendi ya Mapacha Watatu Khalid Chokolaa (kushoto) akiimba sambamba na wasanii wa bendi ya msondo Muhidini Gulumo Juma Katundu na Shabani Dede
Wasanii wa bendi ya msondo ngoma kushoto ni Said Mabdera na Shabani Dede wakitoa burudani sambamba na msanii wa bendi ya Mapacha Watatu Khalid Chokolaa alipotembelea bendi hiyo iliyo na Maskani yake Ilala katika ukumbi wa Max Bar
msanii wa bendi ya Mapacha Watatu Khalid Chokolaa kulia akiwa sambamba na wapuliza Ara wa bendi ya Msondo ngoma kushoto ni Shabani Lendi, Hamisi Mnyupe na Roman Mng'ande alipotembelea bendi hiyo kongwe kwa ajili ya kupata burudani pamoja na kutaka kujua miziki ya Asili ya Tanzania Ilala katika ukumbi wa Max Bar 
Msanii wa bendi ya Msondo Ngoma Romani Mng'ande akiimba sambamba na mwimbaji wa bendi ya Mapacha WAtatu Khalidi Chokolaa kulia wakati alipotembelea bendi hiyo mwishoni mwa wikipicha na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages