Balozi wa Spain na mwakilishi mpya wa UNICEF wakutana na Rais Dk Shein - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Balozi wa Spain na mwakilishi mpya wa UNICEF wakutana na Rais Dk Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Spain nchini Tanzania, Luis  Manuel Cuesta,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF nchini Tanzania, Jama Gulaid,alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages