Baadhi ya warembo wanaoshiriki
shindano la Redd's Miss Tanzania 2012, wakiangalia wanyama wa aina mbalimbali
wakati walipotembelea Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro, wakati warembo hao
walipotembelea hifadhi hiyo jana na kujifunza na kujionea mambo mbalimbali.
Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 wapo Kanda ya Kaskazini kwa ziara ya
kuhamasisha Utalii wa Ndani.
Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss
Tanzania 2012, wakiangalia maelezo mbalimbali na picha za Hifadhi ya Bonde la
Ngorongoro, wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana na kujifunza na
kujionea mambo mbalimbali. Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 wapo Kanda ya
Kaskazini kwa ziara ya kuhamasisha Utalii wa Ndani.
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2012,
wakipiga picha ya pamoja katika eneo la Vie Pick katika Hifadhi ya Bonde la
Ngorongoro, wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana na kujifunza na
kujionea mambo mbalimbali. Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 wapo Kanda ya
Kaskazini kwa ziara ya kuhamasisha Utalii wa Ndani.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)