Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema akikagua gari la
mfanyakazi wa Airtel bwana Herald Mwigune wakati Airtel ilipoendeleza
juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo kwa kuwezesha magari ya
wafanyakazi wake kukaguliwa na kupata sticker za usalama barabarani.
Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco.
Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema akikagua gari wakati
Airtel ilipoendeleza juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo na
kuwezesha magari ya wafanyakazi wake.
Askari
wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema akitoa maelezo na ufafanuzi
kwa mfanyakazi wa Airtel bi Clara Kizinga juu ya vyombo vya moto wakati
wa zoezi la ukaguzi wa magari lililofanyika katika makao makuu ya Airtel
Morocco. Zoezi hilo ni mwendelezo wajuhudi za Airtel katika kuhakikisha
usalama barabarani unazingatiwa.
Askari
wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema akiandika sticker za usalama
barabarani mara baada ya kuyakagua magari wakati Airtel ilipoendeleza
juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo na kuwezesha magari ya
wafanyakazi wake kukaguliwa na kupata sticker za usalama barabarani.
Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco. Pichani
Mfanyakazi wa Airtel. Pichani ni wafanyakazi wa Airtel Lilian Kibiriti
na Abdul Mbuyu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)