Mgeni rasmi, Kapteni mstaafu
Asery Msangi alikabidhi madawati kwa ma DC wa wilaya hizo tano na
kuwashukuru Tigo na Hassan Maajar Trust (HMT) kwa msaada huo wa
madawati iliyochangiwa na ‘Tigo Tuchange’ . Kutoka HMT alikuwepo
Mkurugenzi Zena Maajar Tenga na Kutoka Tigo Meneja Mauzo mkoa wa Iringa
Ladislaus Karlo
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)