REHEMA MBEGU KAMWE-'mrs bigright' kulia akiwa akiwa na kiongozi
mwenzake wa uvccm bi MWANAFATMA RUBAI katika viwanja vya karimjee wakati
wa mkutano wa mkoa jana
Katibu
wa umoja wa vijana(uvccm) kata ya makumbusho,na Ofisa mahusiano wa
bigright promotions bi Rehema Mbegu ambae mara nyingi yupo na vijana
katika michezo na shughuli za kijamii na mwenyekiti wa garden
sports centre amesema sasa hivi anaamua kujitosa mzimamzima na mambo ya
siasa kwa kugombea nyadhifa zilizo katika chama akianzia wilayani, haya
ni kwa mapenzi yake ya chama na kuhakikisha hawatetereki katika kata
yake na wilaya ya kinondoni kiujumla katika chaguzi zijazo na kuleta
maendeleo ya kweli katika mkoa wa kinondoni na taifa kiujumla.michezo
ina nafasi yake na siasa ina nafasi yake hivyo nitaendelea kusaidiana na
vijana katika michezo kama kawaida
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)