Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Mchungaji Alkwin Mbawi uharibifu
mkubwa uliofanywa kwenye kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es
salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari
kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana
Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga uharibifu mkubwa uliofanywa
kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu
za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea
Msahafu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)