Rais Kikwete aongoza mkutano wa Wafanyabishara wa Oman na Tanzania jijini Muscat - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Kikwete aongoza mkutano wa Wafanyabishara wa Oman na Tanzania jijini Muscat

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wafanyabiashara wa Oman na Tanzania wakati wa mkutano malum wa uwekezaji aliouandaa kwaajili ya kuelezea fursa za uwekezaji nchini.Mkutano huo wa uwekezaji ulofanyika jijini Muscat Oman ulihudhuriwa pia na Waziri wa Mambo ya nje Bernard Membe,Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Abdallah Kigoda ,Wziri wa Kazi,Ushirika na Uwezeshaji kiuchumi wa  Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Haroun Ali Suleiman pamoja na Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya Wafanyabishara wa Oman na Tanzania waliohudhuria mkutano maalum wa uwekezaji Tanzania ulifanyika jijini Muscat Oman leo .Mkutano huo wa uwekezaji ulofanyika jijini Muscat Oman ulihudhuriwa pia na Waziri wa Mambo ya nje Bernard Membe,Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Abdallah Kigoda ,Wziri wa Kazi,Ushirika na Uwezeshaji kiuchumi wa  Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Haroun Ali Suleiman pamoja na Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene.Pamoja na viongozi waandamizi  wa serikali zote mbili.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mawaziri na maofika wangazi za juu wa Oman na Tanzania waliohudhuria mkutano maalum wa uwekezaji uliofanyika katika Hoteli ya Al Bustan jijini Muscat Oman leo.Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages