Mbunge
wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla, ambaye pia ni Naibu Waziri wa
Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, ( kati kati ) akiwa ameketi
kwenye dawati, na Meneja wa Kanda ya Mashariki wa Benki hiyo, Gabriel
Ole Loibanguti (kushoto) na ( kulia) ni Mwalimu
Mkuu wa Shule ,Leochrista Bavon, ni baada ya makabidhiano ya madawati
50 kati ya 76 yaliyotolewa na NMB kufuatia maombi ya msaada wa Mbunge
huyo ili kukabiliana na uhaba wa madawati kwenye baadhi ya shule za
Msingi Jimboni humo, hafla iliyofanyika shuleni hapo, Oktoba 25, mwaka
huu.
Kukata utepe
Wanafunzi
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, ( kushoto) akipeana mkono na Meneja wa Kanda ya Mashariki wa Benki ya NMB , Gabriel Ole Loibanguti , Oktoba 25, mwaka huu ikiwa ni ishara ya makabidhiano ya msaada wa madawati 50 kwa shule ya Msingi Masanze,iliyopo Kijiji cha Sanga Sanga, Kata ya Mzumbe, kufuatia ombi la Mbunge huyo kwa Uongozi wa makao makuu ya Benki hiyo hivi karibuni (kati kati ) ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo ,Leochrista Bavon.
Furaha
Wanafunzi na mfadhili wao
PICHA NA HABARI NA JOHN NDITI
UONGOZI
NA KAMATI YA SHULE YA MSINGI, MASANZE ILIYOPO KATIKA KIJIJI CHA SANGA
SANGA , KATA YA MZUMBE, WILAYA MVOMEO, UMEPATIWA MDAASA WA MADAWATI 50
KATI YA 76 KUTOKA NMB MAKAO MAKUU KUTOKANA JUHUDI ZA MBUNGE WA JIMBO LA
MVOMERO, AMOS MAKALLA, AMBAYE PIA NI NAIBU WAZIRI WA HABARI, VIJANA,
UTAMADUNI NA MICHEZO,
HII NI
BAADA YA KUUOMBA UONGOZI HUYO KUSAIDIA MADAWATI KATIKA SHULE KADHAA
ZA MSINGI JIMBONI MWAKE.
MSAADA HUO UMETOLEWA BAADA YA ZIARA YA MBUNGE HIYO KUANDIKA BARUA YA
KUIOMBA BENKI HIYO WAKATI ALIPOJIONEA MWENYEWE HALI MBAYA YA UHABA WA
MADAWATI WAKATI WA ZIARA KATIKA VIJIJI KADHAA IKIKIWEMO CHA SANGA
SANGA.
NA
OKTOBA 25,MWAKA HUU NMB ILITIMIZA UTEKELEZAJI WA MAOMBI HAYO KWA
MKUMKABIDHI MBUNGE HUYO MADAWATI 76.
KATI YA MADAWATI HAO , 50 WALIPEWA UONGOZI WA SHULE HIYO ILI KUPUNGUZA
TATIZO SUGU LA UHABA WA MADAWATI NA YALIYOSALIA YAMEPANGIWA KUISAIDIA
SHULE NYINGINE AMBAYO NAYO IMEKUBWA NA UHABA MKUBWA WA MADAWATI.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)