NEW BLOG IN DA HOUSE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NEW BLOG IN DA HOUSE

Habari za kazi naitwa Ngwesa Paulo mhitimu wa shahada ya utalii chuo kikiuu cha Dodoma. nimechukua fursa hii kukuomba kutambulisha blog yangu katika blo yako ili iweze kujulikana pamoja na wasomaji wengi kwani katika ushirikiano naamini tutalifisha Taifa hili mahara pazuri.

Blog hii inalenga kutoa habari kuhusiana na utalii wetu hapa Tanzania na kuwaonesha watu nini huwa kinafanyika kule ili kutoa hamasa ya watu kujua zaidi kuhusu utali na kujitokeza katika utalii wa ndanii. Pia ni sehem Nzuri kwa watu walio mashuleni kujifunza kwa kuona mambo yanavyofanyika kule. Blog hii inakwenda kwa Jina la NGWESA
http://ngwesa.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages