Mfuasi wa Chama
cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)akiwa na majeraha kichwani baada ya kushambuliwa na watu
wanaodhaniwa kuwa ni vijana wa CCM katika kituo cha kupigia kura Jijini
Arusha kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya daraja Mbili Manispaa ya
Arusha Hapo Jana. Picha Na Mzalendo Blog
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)