MHESHIMIWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA PETER KALLAGHE AMVISHA RASMI CHEO CHA U BRIGADIA JENERALI PELEGREEN MROPE KWA NIABA YA RAIS JAKAYA KIKWETE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MHESHIMIWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA PETER KALLAGHE AMVISHA RASMI CHEO CHA U BRIGADIA JENERALI PELEGREEN MROPE KWA NIABA YA RAIS JAKAYA KIKWETE

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Peter A. Kallaghe, jana amemvisha rasmi cheo kipya Mwambata wa Jeshi, Brigadia Jenerali Pelegreen Mrope kwa niaba ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, katika hafla fupi uliyofanyika Ubalozini hapo,Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alimtunukia  cheo hicho kipya aliyekuwa Kanali Mrope tarehe  17 Septemba 2012. Pichani wakishuhudia shughuli hiyo ni Naibu Balozi, Mhe. Chabaka Kilumanga na Dada Emmy Massaba, Katibu Mahsusi wa Brigadia Jenerali Mrope.
Mheshimiwa Balozi, Peter Kallaghe, akiwa kwenye picha ya pamoja na Brigadia Jenerali Pelegreen Mrope, (kulia) na Naibu Balozi, Mheshimiwa Chabaka Kilumanga mara baada ya kumvishwa cheo chake kipya jana mchana.Picha na Habari Rashid Dilunga Ubalozi wa Tanzania Nchini Uingereza

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages