Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akishiriki katika matembezi ya hisani ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga
uwezo wa Wahandisi wa Tanzania, yaliyoandaliwa na Wahandisi hao (Local
Engineers). Matembezi hayo yalianzia katika Viwanja vya Karimjee jijini na
kumalizikia katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam,
leo.
Matembezi yakizidi kusonga mbele na maongezi yakizidi kunoga....
Matembezi yakizidi kusonga mbele na maongezi yakizidi kunoga....Taa za kuongozea magari za Parm Beach.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akishiriki mazoezi ya viungo baada ya kumaliza kushiriki na kuhitimisha matembezi
ya hisani ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga uwezo wa Wahandisi wa
Tanzania, yaliyoandaliwa na Wahandisi hao (Local Engineers). Matembezi hayo
yalianzia katika Viwanja vya Karimjee jijini na kumalizikia katika Viwanja vya
Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Moahammed Gharib Bilal,akimkabidhi
cheti, Mhandisi Grace Beo, kutoka Kampuni ya Temesa ICT Engineer, akiwa ni
mmoja kati ya waliochangia na kushiriki vyema katika zoezi la kuchangisha fedha
kwa ajili ya kujenga uwezo wa Wahandisi wa Tanzania, yaliyoandaliwa na Wahandisi
hao (Local Engineers). Makamu alikabidhi vyeti hivyo baada ya kuhitimisha rasmi
matembezi hayo ya hisani yaliyoanzia katika Viwanja vya Karimjee na kumalizikia
kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Moahammed Gharib Bilal,akimkabidhi
cheti, Mhandisi Morgan Nyonyi, kutoka Shirika
la Nyumba la Taifa (NHC), akiwa ni mmoja kati ya waliochangia na kushiriki
vyema katika zoezi la kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga uwezo wa Wahandisi
wa Tanzania, yaliyoandaliwa na Wahandisi hao (Local Engineers). Makamu
alikabidhi vyeti hivyo baada ya kuhitimisha rasmi matembezi hayo ya hisani
yaliyoanzia katika Viwanja vya Karimjee na kumalizikia kwenye Viwanja vya
Leaders Club Kinondoni jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na Wahandisi (Local Engineers) baada ya
kuhitimisha matembezi hayo katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Daar
es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)