Baadhi ya Wakazi wa Zanzibar Wakichoma Vitu barabarani katika vurugu zinazoendelea Hivi sasa Huko Zanzibar.Kundi la UAMSHO lilianza kuleta tafrani baada ya kiongozi wao kutekwa na kupelekwa kusikojulikana..Tunazidi kutoa taarifa kadri zinavyotufikia kutoka kwa ripota wetu
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)