KIWANDA CHA MANSOOR DAYA CHATIMIZA MIAKA 50 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KIWANDA CHA MANSOOR DAYA CHATIMIZA MIAKA 50

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua utengenezaji dawa za binadamu wakati alipotembelea kiwanda cha dawa za binadamu cha  Mansoor Chemicals Limited cha jijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50, Oktoba 2, 2012. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho, Mansoor Daya.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasha moja ya mtambo wa kutengeneza dawa wakati alipotembelea kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Daya Chemicals cha jijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50 Oktoba 2, 2012. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Mansoor Daya.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bwana Mansoor Daya (kulia kwake ) na familia yake baada ya kutembelea na kuzungumza wafanyakazi na waalikwa wa kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Daya Chemicals Limited cha jijijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50 Oktoba 2, 2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bwana Mansoor Daya
 Watoto wa Mansoor Daya
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kiwanda cha Mansoor Daya
 Wageni
 Kikundi cha ngoma
 Wasanii wa kikundi cha HB Entertainment wakionyesha manjonjo yao
 Waziri Mkuu akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Mansoor Daya, Bw. Mansoor Daya
Deborah Chambo akifanya vitu vyake sambamba na msaani mwenzake, Michael Hamim.(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages