Kwenye Picha Hapo Juu Kuna Mishale yenye rangi nyeusi inayoonyesha ramani ya Tanzania ilipoishia. Kwa maana hiyo basi Tanzania hatuna haki ya kudai kuwa Sehemu kubwa ya Ziwa Nyasa au Ziwa Malawi Ni ya Kwetu.
NA UKIANGALIA RAMANI HII KUTOKA GOOGLE MAP INAONYESHA KUWA TANZANIA HATUNA HAKI YA KUGUSA HATA MAJI?
Je Ni kweli Kwa Ushahidi huu Tanzania hatuna Haki ya Kudai kuwa Ziwa Nyasa Ni La kwetu?
JE NI NANI MWENYE HAKI HAPA........
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)