JAJI JOSEPH WARIOBA NA MIKUTANO YA UKUSANYAJI MAONI YA KATIBA MPYA KISIWANI PEMBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JAJI JOSEPH WARIOBA NA MIKUTANO YA UKUSANYAJI MAONI YA KATIBA MPYA KISIWANI PEMBA

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (aliyesimama) akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13 Oktoba, 2012 na Tume hiyo kuhusu mchakato wa Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo. Wengine pichani (kutoka kulia) ni Wajumbe wa Tume hiyo, Joseph Butiku (kulia), Profesa Paramagamba Kabudi, Katibu wa Tume, Assaa Rashid na Naibu Katibu Casmir Kyuki.
Wananchi wa Kijiji cha Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar wakifuatilia kwa makini mkutano ulioitishwa jana tarehe 13. Oktoba, 2012 na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo wenye malengo ya kukusanya maoni yao kuhusu mchakato wa Mabadiliko ya Katiba.
Bw. Said Haji Makame (21), mkazi wa kijiji cha Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13. Oktoba, 2012 na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo.
Bw. Yusuph Juma (60) mkazi wa Kijiji cha Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13. Oktoba, 2012 na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo.
Bi. Tatu Maalim Mganga (65) mkazi wa kijiji cha Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13 Oktoba, 2012 na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo.
Bi. Riziki Khamis Shukuru (20) mkazi wa kijiji cha Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13 Oktoba, 2012 na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages