Kocha
wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila katikati akiwa
katika picha ya pamoja na Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe'
baada ya kumdunda kwa point bondia Jonas Segu
|
| Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi na Jonas Segu waakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili siku ya kumbukumbu ya Baba wa tiafa Class alishinda kwa point |
| Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' akimpereka ulingoni bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kwenda kupambana na bondia Jonas Segu wakati wa kumbukumbu ya kifo cha baba wa Taifa Class alishinda kwa Point |
| Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Ngumi Rajabu Mhamila
'Super D' akimpereka ulingoni bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe'
kwenda kupambana na bondia Jonas Segu wakati wa kumbukumbu ya kifo cha
baba wa Taifa Class alishinda kwa Point picha na www.superdboxingcoach. |





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)