Dereva
wa Bodaboda na abiria wake, ambao hawakuweza kufahamika majina yao kwa
haraka, wakiwa wamelazwa pembeni mwa barabara ya Bagamoyo eneo la
Makongo, baada ya kugongwa na gari aina ya Starlet yenye namba za
usajiri T 838 BKB, wakati wakiwa katika Pikipiki yao yenye namba za
usajiri T 491 BFY, na kufariki dunia papo hapo. Ajali hiyo ilitokea jana
asubuhi, Pichani ni raia akijaribu kutambua mwili wa marehemu katika
ajali hiyo.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)