Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Yussuf Omar hunda (kushoto) akitoa maelezo kuhusiana na Utendaji wa Idara yake kwa
Balozi Mdogo wa China aliekuweko Zanzibar Chen Qiman (kulia)wakati
alipofanya Ziara ya kutembelea vyombo vya Habari vya Serikali ya
Zanzibar.
Balozi Mdogo wa China aliekuweko Zanzibar Chen Qiman
(wa katikati) akizungumza na baadhi ya watendaji nawakuu wa Gazeti la
Zanzibar leo wakati alipofanya Ziara ya kutembelea vyombo vya Habari vya
Serikali ya Zanzibar.
Mhariri Mkuu wa Gazeti la Zanzibar leo Abdalla Mohd
akimuonesha nakala ya Gazeti la Nuru lililokuwa likitolewa Zanzibar
Balozi Mdogo wa China aliekuweko Zanzibar Chen Qiman wakati alipofanya
Ziara ya kutembelea vyombo vya Habari vya Serikali ya Zanzibar
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Saidi
Ali Mbarouk akibadilishana mawazo na Mhariri Mkuu wa Gazeti la Zanzibar
leo Abdalla Mohd hapo katika Ofisi za Zanzibar Leo Rahaleo Mjini
Zanzibar.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Saidi
Ali Mbarouk (kushoto)akiwa pamoja na Balozi Mdogo wa China aliekuweko
Zanzibar Chen Qiman (katikati)wakati Balizi huyo alipofanya ziara ya
kutembelea vyombo vya Habari vya Serikali ya Zanzibar.kulia ni
Mkurugenzi wa Zbar.
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)