Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kushoto) akimkaribisha
Balozi wa mpya wa India nchini Tanzania Mhe Debnath Shaw. Balozi huyo
alifika nyumbani kwa Mhe. Spika mapema jana asubuhi kwa lengo la
kujitambulisha kwake na kumfikishia salamu za ushirikiano kutoka kwa
Spika wa Bunge la India, Mama Meira Kumar.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)