Aliyekua Mbunge Wa Arusha Mjini(CHADEMA)Godbless Lema Azindua Kampeni Za Udiwani CHADEMA Arusha - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Aliyekua Mbunge Wa Arusha Mjini(CHADEMA)Godbless Lema Azindua Kampeni Za Udiwani CHADEMA Arusha

 Mgombea wa CHADEMA-Arusha akinandi sera zake, Kulia ni aliyekua mbunge wa Arusha Mjini(CHADEMA)Godbless Lema
Mbunge wa Arumeru Mashariki(CHADEMA)Nassari akihutubia kwenye kamoeni za Udiwani Arusha,Kushoto kwake ni Aliyekua Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema
Picha Juu na Chini ni Sehemu ya Umati mkubwa wa wafuasi wa chadema wakisikiliza Kampeni za Udiwani Arusha.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages