ZOEZI LA BOMOABOMOA LAFANYIKA SINZA MORI JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ZOEZI LA BOMOABOMOA LAFANYIKA SINZA MORI JANA

 Greda la Manispaa ya Kinondoni likiwa eneo la tukio tayari kuanza kazi.
Wakazi waliokumbwa na bomoabomoa hiyo wakihamisha vitu visiharibiwe na greda.
 Askari mgambo wa Manispaa wakiangalia kwa makini ubomoaji wa nyumba hizo.
 Mmoja wa mgambo waliokuwa katika zoezi hilo la ubomoaji, akisaidia kutoa vyombo.
 
ILE sera ya mipango miji katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imepamba moto baada ya wakazi wa Sinza Mori na Bamaga kubomolewa nyumba zao kufuatia kujenga sehemu zilizotengwa kwa ajili ya barabara.endelea kupitia audiface jackson blogspot kupata habari zaidi.Zoezi hilo lililoacha simanzi, majonzi na vilio kwa wakazi hao, limefanyika leo na kushuhudiwa na kamera yetu.Picha Kwa Hisani Ya Audifance Jackson Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages