Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa:Hafla ya kumuaga Balozi wa Korea Kusini Nchini Tanzania - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa:Hafla ya kumuaga Balozi wa Korea Kusini Nchini Tanzania

 Balozi Mbelwa Kairuki, Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia hapa Wizarani, akisalimiana na Bibi Moon Jim Kim, mke wa Balozi Young-Hoon Kim, Balozi wa Korea Kusini aliyemaliza muda wake wa kazi nchini.  Pichani ni Mhe. Balozi Kim.
 Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akimzawadia Balozi wa Korea Kusini aliyemaliza muda wake wa kazi nchini, Mhe. Young-Hoon Kim, wakati wa hafla ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara hiyo na kufanyika kwenye Hoteli ya Southern Sun, Dar es Salaam. Katikati ni mke wa Balozi Kim, Moon Jim Kim
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akimtakia heri na uzima wa afya Balozi wa Korea Kusini aliyemaliza muda wake wa kazi nchini, Mhe. Young-Hoon Kim, wakati wa hafla ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara hiyo na kufanyika kwenye Hoteli ya Southern Sun, Dar es Salaam. Katikati ni mke wa Balozi Kim, Moon Jim Kim.Picha Zote na Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages