Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe amuaga balozi wa indonesia nchini nakupokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. Chung IL, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe amuaga balozi wa indonesia nchini nakupokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. Chung IL, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini.

 Mhe. Waziri Membe akipata picha ya kumbukumbu na Mhe. Balozi Sungadi mara baada ya kumaliza mazungumzo yao.
 Mhe. Waziri akiagana rasmi na Mhe. Balozi Sungadi kabla ya Balozi huyo kuondoka.
 Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. Chung IL, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini. Hafla hiyo ilifanyika Ofisini kwa Mhe. Waziri leo tarehe 21 Septemba, 2012.
 Mhe. IL, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini akimkabidhi zawadi Mhe. Waziri Membe mara baada ya kuwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho.
 Mhe. Waziri Membe akiagana ba Mhe. IL, Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini mara baada ya Balozi huyo kuwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho. Mwingine katika picha ni Bw. Songtae OH, Naibu Balozi.wa Jamhuri ya Korea.
Mhe. Membe akizungumza na Mhe. IL, Balozi Mteule wa Jamhuriya Korea hapa nchini mara baada ya kuwasilisha Nakala za Utambulisho.Picha Zote na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages